The national budget is a country's single most Access to budget information is a significant important policy document. It determines public challenge for the majority of countries surveyed. income, spending, access to social services such as Tanzania fared in the middle range, with a score of education, healthcare an...
News
News And Announcements
Browse 153 migrated news records from the Tanzania Online archive.
Full Text
This report summarises the work carried out on a small sub-study (NIMR/HQ/R.8a/Vol. IX/367) nested within a randomised controlled trial conducted in north-west Tanzania. This is the final report of this study, the fieldwork for which was completed in October 2005.
Corrections on budget timetable on how ministries will submit their Ministerial Budget for year 2009/2010 in the budget session
UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, Naomba kutoa hoja kwamba kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji kwa mwaka 2008/2009 na Mwelekeo wa Kazi kwa mwaka 20...
Hoja 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu, baada ya kuzingatia taarifa iliyowasilishwa mapema leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, likubali kupokea, kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya...
A: UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali upokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Miundombinu...
The Training workshop aims at enabling participants to design marketing plans and strategies for the digital media, to design and deliver products and services for e-commerce distribution channels, and to integrate e-commerce strategies into existing marketing activities, thereby enhancing customer satisfaction and pr...
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2009/2010. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato na kinajumuisha hatua m...
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati (2009/10 – 2011/12). Pamoja na hotuba hii, nawasilisha Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa...
Mnamo tarehe 11 Aprili, 2008 Kamati ya Bunge ya UKIMWI ilikutana na Uongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania . Baada ya uwasilishaji wa mada mbalimbali kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji na wakurugenzi wa Tume, Waheshimiwa Wabunge walipata fursa ya kutoa maoni na kuuliza maswali ili kupata ufafanuzi katika baadhi ya m...
Kwa zaidi ya miaka ishirini, Tanzania imekuwa ikijitahidi kudhibiti janga la UKIMWI, ambalo linaendelea kuangamiza maelfu ya raia wake na kuathiri juhudi za maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Nchi inakabiliwa na maambukizo yaliyoenea nchi nzima kwa wastani wa ushamiri wa VVU wa asilimia 5.8. Uambukizo wa VVU unaenea mi...

