Back to news

News

Majibu ya Maswali Yaliyoulizwa na Waheshimiwa Wabunge

Mnamo tarehe 11 Aprili, 2008 Kamati ya Bunge ya UKIMWI ilikutana na Uongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania . Baada ya uwasilishaji wa mada mbalimbali kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji na wakurugenzi wa Tume, Waheshimiwa Wabunge walipata fursa ya kutoa maoni na kuuliza maswali ili kupata ufafanuzi katika baadhi ya m...

Mnamo tarehe 11 Aprili, 2008 Kamati ya Bunge ya UKIMWI ilikutana na Uongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania . Baada ya uwasilishaji wa mada mbalimbali kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji na wakurugenzi wa Tume, Waheshimiwa Wabunge walipata fursa ya kutoa maoni na kuuliza maswali ili kupata ufafanuzi katika baadhi ya mambo muhimu yanayohusu uratibu na utekelezaji wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini.