News
Bajeti ya Serikali 2009 - 2010
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2009/2010. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato na kinajumuisha hatua m...
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2009/2010. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato na kinajumuisha hatua mpya za kodi ambazo hutangazwa wakati wa kuwasilisha Hotuba ya Bajeti Full Text

