Back to publications

Publication

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU KATIKA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012, NGAZI YA

Abstract

Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uwezo wa kutukutanisha hapa siku ya leo katika Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 katika ngazi ya Taifa.