Publication
Kurejesha Hadhi ya Mwalimu I
Abstract
Ufuatao ni muhtasari wa ripoti iliyoandiliwa na HakiElimu inayosisitiza baadhi ya programu katika Mkakati wa Maendeleo na Menejimenti ya Ualimu (TDMS) ambazo hazijatekelezwa kutokana na ukosefu wa fedha, na inachangia mawazo kuhusu namna fedha hizo zinavyoweza kutolewa. Kwa tarifa zaidi, soma ripoti kamili.

