Back to publications

Publication

Nani huamua Watoto wetu Wajifunze Nini?

Abstract

Huu ni muhtasari wa ripoti ya utafiti wa mahusiano kati ya ubora wa mitaala na utoaji elimu bora uliofanyika mwezi Agosti mwaka 2010. Utafiti huu ulifanyika katika wilaya sita za Tanzania bara. Ambazo ni: Monduli(Arusha), Mufindi (Iringa), Pangani (Tanga), Misungwi (Mwanza), Uyui (Tabora) na Bukombe (Shinyanga). Unashauriwa kusoma ripoti nzima ili kupata taarifa kwa kina.