News
Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam: Nini Kifanyike?
Msongamano wa magari jijini Dar es Salaam unaweza kusimuliwa kwa namna nyingi. Ukweli ni kuwa, kila anayeishi jijini hapa ana maelezo yake kuhusu anavyoathirika na msongamano wa magari. Maeneo sugu ya foleni ni yale ya makutano ya barabara kubwa na sehemu nyingine ni zile ambazo huathirika wakati mvua zikinyesha. <DIV...
Msongamano wa magari jijini Dar es Salaam unaweza kusimuliwa kwa namna nyingi. Ukweli ni kuwa, kila anayeishi jijini hapa ana maelezo yake kuhusu anavyoathirika na msongamano wa magari. Maeneo sugu ya foleni ni yale ya makutano ya barabara kubwa na sehemu nyingine ni zile ambazo huathirika wakati mvua zikinyesha.

